Lugha Nyingine
Bustani ya kitaifa?ya ardhioevu ya Zhejiang, China yafanya juhudi za kuboresha mazingira ya kiikolojia (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 17, 2024
Picha iliyopigwa Mei 16, 2024 ikionyesha mandhari ya bustani ya kitaifa ya ardhioevu ya Ziwa Baita katika Mji wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Xinhua/Xu Yu) |
Katika miaka ya hivi karibuni, bustani ya kitaifa ya ardhioevu ya Ziwa Baita katika Mji wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China imekuwa ikitekeleza miradi ya kurejesha ikolojia ili kuboresha mazingira ya ikolojia ya ardhioevu hiyo na kuhimiza hali ya masikilizano kati ya binadamu na mazingira ya asili.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma