超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Wanasayansi wapata maendeleo makubwa katika kudhibiti maradhi yanayoletwa na mbu

(CRI Online) Agosti 05, 2024

Picha iliyopigwa Agosti 2, 2024 ikionesha mashine ya kiotomatiki ambayo inaweza kutenganisha kwa ufanisi mbu jike na dume katika Kampuni ya Wolbaki Biotech ya Guangzhou, China. (Xinhua)

Picha iliyopigwa Agosti 2, 2024 ikionesha mashine ya kiotomatiki ambayo inaweza kutenganisha kwa ufanisi mbu jike na dume katika Kampuni ya Wolbaki Biotech ya Guangzhou, China. (Xinhua)

Timu ya utafiti inayoundwa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Jimbo la Michigan, Marekani, Chuo Kikuu cha Jinan, China na kampuni ya teknolojia ya kibiolojia ya Wolbaki ya Mjini Guangzhou, China imeunda kifaa cha kiotomatiki, chenye uwezo wa kutenganisha mbu dume na jike kwa ufanisi, hatua ambayo ni maendeleo makubwa katika udhibiti wa kibiolojia dhidi ya maradhi yanayoletwa na mbu.

Timu hiyo ya kimataifa, imetangaza matokeo yao ya utafiti siku ya Jumatano kwenye makala yao ya utafiti iliyochapishwa kwenye jarida la akademia ya kimataifa la “Science Robotics”.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha