Lugha Nyingine
Xi akutana na rais wa Chad
(CRI Online) Septemba 04, 2024
(Picha na Zhai Jianlan/Xinhua)
Rais Xi Jinping wa China tarehe 3 alikutana na Rais Mahamat Idriss Deby Itno wa Chad, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma