超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Marais wa China na Malawi wakutana Beijing na kufanya mazungumzo kuhusu kuinua uhusiano kati ya nchi zao

(CRI Online) Septemba 04, 2024

Asubuhi ya tarehe 3, Septemba, Rais Xi Jinping wa China leo akikutana na Rais Lazarus Chakwera wa Malawi, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024. (Picha na Huang Jingwen/Xinhua)

Asubuhi ya tarehe 3, Septemba, Rais Xi Jinping wa China akikutana na Rais Lazarus Chakwera wa Malawi, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024. (Picha na Huang Jingwen/Xinhua)

Rais Xi Jinping wa China tarehe 3 amekutana na Rais Lazarus Chakwera wa Malawi, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024.

Viongozi hao wawili wametangaza kwa pamoja kuinua uhusiano kati ya nchi zao kuwa uhusiano wa wenzi wa kimkakati.

Rais Xi amesema China ingependa kuimarisha ushirikiano wa kirafiki na Malawi kwenye hatua hii mpya, na kukuza maendeleo kwa pamoja na kuwanufaisha watu wa nchi hizo mbili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha