超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Marais wa China, Tanzania na Zambia washuhudia hafla ya utiaji saini Makubaliano ya kustawisha njia ya reli ya TAZARA

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2024

(Xinhua/Zhai Jianlan)

(Xinhua/Zhai Jianlan)

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema leo asubuhi kwa pamoja wameshuhudia hafla ya utiaji saini makubaliano ya maelewano (MoU) kuhusu mradi wa kustawisha njia ya reli ya TAZARA.

Marais Samia na Hichilema wako Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha