超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Marais wa China na Madagascar wainua hadhi ya uhusiano wa pande mbili

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 07, 2024

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina ambaye yuko mjini Beijing kushiriki Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini, Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping amekutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina siku ya Ijumaa, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).

Viongozi hao wawili wametangaza kuinua hadhi ya uhusiano wa pande mbili hadi kuwa ushirikiano wa kimkakati wa washirika wa pande zote.

Rais Xi amesema China ingependa kuhimiza mabadilishano na kupanua ushirikiano wa matokeo halisi na Madagascar, kuendelea kutekeleza programu za usaidizi kwenye teknolojia ya mpunga chotara, na kutafuta na kuimarisha ushirikiano katika maeneo kama vile madini, nishati mpya, uchumi wa bluu, kuzuia na kupunguza athari za maafa.

“China pia ina nia ya kuisaidia Madagascar kuendeleza vipaji vya hali ya juu zaidi,” Rais Xi amesema.

Ikiwa mmoja wa waungaji mkono wa kwanza wa FOCAC, Madagascar imetoa mchango chanya katika ukuaji wa baraza hilo, rais wa China amesema.

Kwa upande wake Rais Rajoelina amesema shukrani kwa usaidizi kutoka China, Madagascar imeboresha teknolojia yake ya mpunga chotara na kuhakikisha usalama wa chakula.

Ameeleza matumaini yake ya kujifunza kutokana na uzoefu wa mafanikio wa China, na kupata maendeleo na ustawi wa taifa kwa kuzidisha ushirikiano na China.?

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina ambaye yuko mjini Beijing kushiriki Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini, Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha