Lugha Nyingine
Baraza?la Maendeleo ya Nishati inayotoa Kaboni chache?la Taiyuan la 2024?lafunguliwa
Picha hii iliyopigwa Septemba 10, 2024 ikionyesha ufunguzi wa Baraza la Maendeleo ya Nishati inayotoa Kaboni chache la Taiyuan la 2024 uliofanyika mjini Taiyuan, Mkoani Shanxi kaskazini mwa China. (Xinhua/Yang Chenguang)
Malori yanayotumia nishati safi yakionyeshwa kwenye maonyesho ya viwanda wakati wa Baraza la Maendeleo ya Nishati inayotoa Kaboni chache la Taiyuan la 2024 huko Taiyuan, Mkoa wa Shanxi kaskazini mwa China, Septemba 10, 2024. (Xinhua/Yang Chenguang)
Mtu akijaribu kifaa cha VR katika maonyesho ya viwanda wakati wa Baraza la Maendeleo ya Nishati inayotoa Kaboni chache la Taiyuan la 2024 huko Taiyuan, Mkoa wa Shanxi kaskazini mwa China, Septemba 10, 2024. (Xinhua/Yang Chenguang)
Watu wakishiriki kwenye Baraza la Maendeleo ya Nishati inayotoa Kaboni chache la Taiyuan la 2024 huko Taiyuan, Mkoa wa Shanxi kaskazini mwa China, Septemba 10, 2024. (Xinhua/Yang Chenguang)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma