超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Mkutano wa Uvumbuzi wa Teknolojia za Kilimo Duniani Mwaka 2024 (WAFI 2024) wafanyika Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2024
Mkutano wa Uvumbuzi wa Teknolojia za Kilimo Duniani Mwaka 2024 (WAFI 2024) wafanyika Beijing
Droni ya kilimo ikionyeshwa kwenye Mkutano wa Uvumbuzi wa Teknolojia za Kilimo Duniani Mwaka 2024 (WAFI 2024) uliofanyika Beijing, China Oktoba 11, 2024. (Xinhua/Zhang Chenlin)

BEIJING - Wataalam takriban 800 kutoka China na duniani kote wamekutana siku ya Ijumaa mjini Beijing kwenye Mkutano wa Uvumbuzi wa Teknolojia za Kilimo Duniani Mwaka 2024 (WAFI 2024), wakitetea kubadilisha muundo ili kutoa kaboni chache katika mifumo ya nafaka za kilimo kupitia uvumbuzi wa kisayansi ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Mkutano huo, wenye kaulimbiu isemayo "Mabadiliko ya Tabianchi na Mageuzi katika Mifumo ya Nafaka za Kilimo " unasisitiza mahitaji ya haraka ya uvumbuzi wa teknolojia katika sekta ya kilimo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha