Lugha Nyingine
Eneo la Shamba kubwa la Beidahuang mkoani Heilongjiang: mpunga wa maji uliokomaa wafungua msimu wa mavuno wa majira ya mpukutiko (5)
Kwenye shamba la Jiangchuan la Eneo la Shamba kubwa la Beidahuang mkoani Heilongjiang, kwa kufuata sauti ya “Anza kufyeka”, mashine inayojiendesha ya kufyeka na kuanika inaanza kufanya kazi kwenye shamba la mpunga wa dhahabu. Siku hizi, mipunga ya aina mbalimbali kwenye Sahmba kubwa la Beidahuang meingia msimu wa mavuno, eneo kubwa la shamba linatazamiwa kupata mavuno makubwa. Picha ilipigwa na Liu Shuaiye (Tovuti ya Picha ya Umma)
Bustani ya Mapumziko ya Kimataifa ya Beijing yazinduliwa kwa majaribio
Aina nane maarufu zaidi za maua ya Yunnan hakika kuna moja inayokushangaza zaidi
Korongo wacheza kwenye uwangja wa juu hali ya viumbe yaendelea vizuri mkoani Tibet
Rasilimali ya utamaduni yasukuma mbele ujenzi wa kijiji cha kupendeza cha Luquan mjini Shijiazhuang
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma