Kiwanda cha Kutengeza Maskoti Bing Dwen Dwen chaanza tena uzalishaji
|
Wafanyakazi wakitengeneza Maskoti Bing Dwen Dwen katika kiwanda cha midoli kichoko katika Mji wa Jinjiang, Mkoa wa Fujian Kusini-Mashariki mwa China, Februari 9, 2022. Bing Dwen Dwen, maskoti rasmi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, amekuwa maarufu sana hivi majuzi. Kiwanda kimoja kilichoidhinishwa huko Jinjiang kimeanza tena uzalishaji wa bidhaa za Maskoti Bing Dwen Dwen mapema zaidi kabla ya ratiba ili kuhakikisha ugavi wa kutosha kwa soko. (Picha na Lin Xiaoyan/Xinhua) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)