Lugha Nyingine
Mandhari ya Majira ya Joto ya Ziwa la Tianchi kwenye Milima ya Tianshan ni kama picha ya kuchorwa
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 09, 2023
Katika wakati wa majira ya joto, mandhari ya eneo la Kivutio cha Ziwa la Tianchi kwenye Milima ya Tianshan katika Eneo linalojiendesha la Changji la Kabila la Wahui mkoani Xinjiang ni kama picha ya kuchorwa, ambayo imevutia watalii wengi kwenda huko kutembelea.(Picha na He Long/Tovuti ya picha za umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma