Lugha Nyingine
Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatoa jukwaa kwa washiriki kuonyesha tamaduni tofauti (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2023
Msanii kutoka Italia akichonga kitu cha Sanaa kwenye kombe katika Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 8, 2023. (Xinhua/Zhang Jiansong) |
Mbali na fursa za kibiashara, Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yaliyoanza mjini Shanghai tangu Novemba 5 pia yanatoa jukwaa kwa waonyeshaji bidhaa kutoka nchi na maeneo mbalimbali kuonyesha utamaduni wao wa kipekee kwa Dunia.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma