Lugha Nyingine
Sanaa ya Opera yaingia vyuoni nchini China ili kurithisha?urithi wa utamaduni usioshikika kwa pamoja
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 29, 2023
Mwalimu akimpodoa mwanafunzi kwa ajili ya maandalizi ya kutumbuiza jukwaani katika Shule ya Msingi ya Hebei iliyoko Mji wa Baoding, China, Desemba 27. (Picha na Jin Liangkuai/Xinhua) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Eneo la Lianchi katika Mji wa Baoding, Mkoa wa Hebei nchini China limekuwa likifanya shughuli mbalimbali kwa juhudi ili kuingiza utamaduni wa Sanaa ya Opera vyuoni, zikiwezesha wanafunzi zaidi kuhisi uzuri na mvuto wa kipekee wa utamaduni wa Sanaa ya Opera, kuongeza ujuzi wa kitamaduni, na kuhamasisha na kurithi utamaduni mzuri wa jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma