Lugha Nyingine
Treni ya tramu inayotumia umeme yapambwa na taa ili kuvutia watalii huko Dalian, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 12, 2024
Treni ya tramu inayotumia umeme iliyopambwa na taa ikionekana mjini Dalian, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China Januari 9, 2024. (Xinhua/Pan Yulong) |
Kuanzia Desemba 31, 2023, treni kadhaa za tramu zinazotumia umeme za abiria katika Mji wa Dalian zimepambwa na taa ili kuvutia watalii wengi zaidi. Historia ya treni za tramu zinazotumia umeme katika mji huo wa Dalian ilianzia mwaka 1909. Baada ya uendeshaji wa zaidi ya miaka 100, treni hizo za tramu zinazotumia umeme za abiria zimekuwa alama ya mji huo inayopendwa.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma