Lugha Nyingine
Katika Picha: Maonyesho ya taa za kijadi ya bustani ya Yuyuan mjini Shanghai, China
Watu wakitembelea maonyesho ya taa za kijadi ya Bustani ya Yuyuan mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Januari 21, 2024. (Xinhua/Liu Ying) |
Huku Mwaka Mpya wa Jadi wa China ukikaribia, Bustani ya Yuyuan iliyoko mjini Shanghai, Mashariki mwa China imekuwa tena na mandhari ya sikukuu, ikiwa imepambwa na mamia ya taa za kuvutia za kijadi.
Maonyesho ya taa za kijadi ya Bustani ya Yuyuan ni kivutio kikuu cha kitamaduni mjini Shanghai wakati wa sherehe za Sikukuu ya Spring, au Mwaka Mpya wa Jadi wa China. Maudhui ya mapambo ya taa hizo za mwaka huu ni mwendelezo wa mwaka 2023 kuhusu "Maajabu ya Milima na Bahari," ambalo limehamasishwa na fasihi ya kale "Shan Hai Jing."
Sehemu ya pili ya mradi wa jengo la Kituo cha Mambo ya Fedha cha Nanjing wawekewa vifuniko
Umoja wa Mataifa kuchapisha stempu za Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2024
Watu wa sehemu mbalimbali za China wajiandaa kwa Mwaka Mpya kwa kalenda ya jadi ya China
Pilikapilika za uvuvi wa majira ya baridi katika Mkoa wa Hunan, Katikati ya China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma