Lugha Nyingine
Watu washerehekea Sikukuu?ya Timket huko Addis Ababa, Ethiopia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 22, 2024
Watu wakisherehekea Sikukuu ya Timket, ambayo ni sikukuu ya kila mwaka ya Ubatizo ya Ethiopia, mjini Addis Ababa, Ethiopia, Januari 20, 2024. (Xinhua/Michael Tewelde) |
Mamilioni ya watu Jumamosi walisherehekea sikukuu ya Timket, ambayo ni sikukuu ya kila mwaka la Ubatizo ya Ethiopia, kote nchini Ethiopia, huku maafisa wa serikali na viongozi wa kidini wakihimiza waumini kudumisha amani na shughuli za sikukuu hiyo ambazo ni sehemu ya urithi wa utamaduni usioshikika wa Dunia.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Sehemu ya pili ya mradi wa jengo la Kituo cha Mambo ya Fedha cha Nanjing wawekewa vifuniko
Umoja wa Mataifa kuchapisha stempu za Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2024
Watu wa sehemu mbalimbali za China wajiandaa kwa Mwaka Mpya kwa kalenda ya jadi ya China
Pilikapilika za uvuvi wa majira ya baridi katika Mkoa wa Hunan, Katikati ya China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma