Lugha Nyingine
Kanivali ya Shehuo yafanyika huko Xining, Kaskazini Magharibi mwa China (11)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 20, 2024
Wacheza ngoma wakicheza ngoma ya dragoni katika kanivali ya Shehuo mjini Xining, Mkoa wa Qinghai wa Kaskazini Magharibi mwa China, Februari 19, 2024. (Xinhua/Zhang Hongxiang) |
Kanivali ya Shehuo ikiwa na washiriki zaidi ya 2,000 imefanyika huko siku ya Jumatatu.
Shehuo, ambayo ni sherehe ya jadi ya China, ni tamasha katika namna mbalimbali ikihusisha ngoma ya dragoni, ngoma ya simba, opera ya jadi ya Kichina, upigaji ngoma na maonesho mengine ya kijadi ambayo hubadilika badilika kulingana na maeneo tofauti.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma