Lugha Nyingine
Watu wakitazama kupatwa kwa jua kikamilifu kote Amerika Kaskazini
Watu wakitazama kupatwa kwa jua kikamilifu katika eneo la Times Square, New York, Marekani, Aprili 8, 2024. (Picha na Michael Nagle/Xinhua) |
Kupatwa kwa jua kikamilifu kumetokea kote Amerika Kaskazini siku ya Jumatatu, ambapo wakaazi na wageni walikusanyika katika maeneo tofauti kwenye njia ya kupatwa huko kwa jua ili kutazama na kushangilia. Kupatwa huko kwa jua kikamilifu ambako kumepewa jina la utani la Kupatwa kwa Jua Kukubwa kwa Amerika kutokana na kupita kwake kwa urefu juu ya Amerika Kaskazini kumeonekana angani juu ya sehemu za Mexico, majimbo 15 ya Marekani na mashariki mwa Canada.
Shughuli ya kuadhimisha Siku ya Mashua ya Qintong 2024 yafanyika Jiangsu, China
Watu watoa heshima kwa marehemu kabla ya siku ya Qingming katika Mji wa Beijing, China
Msanii wa Ethiopia abuni sanaa kutokana na ufunuo wa kitabu maarufu cha China “Yi Jing”
Treni yaendeshwa katikati ya maua karibu na sehemu ya Juyongguan ya Ukuta Mkuu wa Beijing
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma