超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Mkoa?wa Fujian wa China waharakisha maendeleo ya kilimo cha baharini (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 22, 2024
Mkoa?wa Fujian wa China waharakisha maendeleo ya kilimo cha baharini
Mtangazaji wa moja kwa moja mtandaoni akinadi bidhaa za mazao ya mwani katika Kaunti ya Xiapu, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, Mei 8, 2024. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Ukiwa uko katika kando ya Bahari ya China ya Mashariki, Mkoa wa Fujian wa China una eneo la bahari lenye ukubwa wa kilomita za mraba 136,000, ukanda wa pwani wenye miamba na ghuba na visiwa vingi, na kuufanya kuwa mahali pazuri pa kuendeleza kilimo cha baharini.

Kwa miaka mingi, Mkoa wa Fujian umekuwa ukijikita katika kuongeza uzalishaji wa vyakula vyenye ubora wa hali ya juu vya baharini, na kuharakisha uboreshaji wa kilimo cha baharini huku ikilinda mazingira ya ikolojia ya baharini. Mwaka 2023, uzalishaji wa kilimo cha baharini mkoani humoyalifikia tani karibu milioni 5.8, ikishika nafasi ya pili nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha