Lugha Nyingine
Eneo la kujionea?na kujaribu ana kwa ana teknolojia za kisasa la Mkutano wa 7 wa China ya Kidijitali lafunguliwa Fujian
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 24, 2024
Mkutano wa 7 wa China ya Kidijitali utafanyika Fuzhou, Mkoa wa Fujian, Kusini-Mashariki mwa China kuanzia leo Mei 24 hadi 25. Eneo la kujionea na kujaribu ana kwa ana teknolojia za kisasa la Mkutano huo, linalochukuka eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 56,000, likijumuisha sehemu kuu tano, limefunguliwa katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Fuzhou Strait siku ya Alhamisi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma