超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Madaraja ya kale ya mawe yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2024
Madaraja ya kale ya mawe yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China
Picha iliyopigwa Juni 26, 2024 ikionyesha watu wakiwa wamepumzika kwenye Daraja la Wanshan katika Kijiji cha Shebei cha Mji mdogo wa Xin'an, Wilaya ya Deqing, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Picha na Xie Shangguo/Xinhua)

Wilaya ya Deqing wa Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China ni nyumbani kwa madaraja saba ya kale ya mawe ambayo yameorodheshwa kuwa maeneo muhimu ya urithi wa kitamaduni chini ya ulinzi wa kiwango cha serikali ya China. Katika miaka ya hivi karibuni, wilaya hiyo inafanya juhudi kubwa katika ulinzi na ukarabati wa madaraja hayo ya kale ya mawe, huku ikihimiza kuunganisha rasilimali zake hizo za urithi pamoja na utalii wa kitamaduni na ziara za utafiti.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha