超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Treni inayotumia umeme uliozalishwa kwa nishati ya Hidrojeni yamaliza kuundwa huko Sichuan, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 02, 2024
Treni inayotumia umeme uliozalishwa kwa nishati ya Hidrojeni yamaliza kuundwa huko Sichuan, China
Tarehe 1, Julai, treni inayotumia umeme uliozalishwa kwa nishati ya Hidrojeni ikimaliza kuundwa kwenye karakana ya Kituo cha Viwanda vya Usafiri wa Reli cha Zhongche Tietou.

Tarehe 1, Julai, kwenye kiwanda cha karakana ya Kituo cha Viwanda vya Usafiri wa Reli cha kampuni ya Zhongche Tietou kilichopo Yibin, Mkoa wa Sichuan wa China, treni inayotumia umeme uliozalishwa kwa nishati ya hidrojeni imemaliza kuundwa. Treni hiyo ilisanifiwa na kuzalishwa na China yenyewe, na itatumika katika reli ya T4 ya Yibin kuanzia mwezi Agosti mwaka huu.

Picha na Zhuang Geer/Xinhua

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha