Lugha Nyingine
Wanaanga wa China wa Chombo cha Shenzhou-18 wakamilisha kazi yao ya pili ya kutembea kwenye anga ya juu (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 04, 2024
Ofisi ya mradi wa safari ya anga ya juu ya China ilisema kuwa wanaanga wa chombo cha Shenzhou No.18 wamekamilisha kazi yao ya pili ya kutembea kwenye anga ya juu.
Hadi sada, “safari ya kazi kwenye anga ya juu” ya wanaanga wa chombo cha Shenzhou No.18 imekamilika kwa theluthi moja, baadaye watafanya majaribio ya kisayansi na kiteknolojia kwenye obiti.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma