Lugha Nyingine
Watalii watembelea eneo la kivutio cha utalii la michongo kwenye Mwamba wa Dazu mjini Chongqing, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2024
Watalii wakitembelea eneo la kivutio cha utalii la michongo kwenye Mwamba wa Dazu katika Mji wa Chongqing, Kusini Magharibi mwa ya China, Julai 7, 2024. (Xinhua/Wang Quanchao) |
Eneo la Vinyago vya Mwamba wa Dazu katika Mji wa Chongqing, Kusini Magharibi mwa ya China liliingizwa kwenye Orodha ya Mali ya Urithi wa Dunia ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) Mwaka 1999. Likiwa ni mfano maridhawa wa sanaa ya China ya grotto, eneo hilo lina umuhimu mkubwa wa kihistoria, unaoonesha uhai na ustawi wa utamaduni wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma