超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Kazi mpya ya taaluma yaibuka wakati tasnia ya Magari ya Kujiendesha bila dereva ikizidi kuendelea (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 16, 2024
Kazi mpya ya taaluma yaibuka wakati tasnia ya Magari ya Kujiendesha bila dereva ikizidi kuendelea
Mjaribishaji wa magari ya teknolojia za kisasa yaliyounganishwa Wang Juan (kushoto) akitoa mafunzo ya jaribio la gari linalojiendesha lenyewe barabarani bila dereva kwa mfanyakazi mpya huko Wuhan, Mkoa wa Hubei wa China, Julai 4, 2024. (Xinhua/Wu Zhizun)

Kutokana na maendeleo ya mambo ya umeme, mitandao, mageuzi ya teknolojia za kisasa, pamoja na maendeleo ya teknolojia ya vyombo kujiendesha vyenyewe bila dereva, magari ya kujiendesha yenyewe bila dereva hatua kwa hatua yanakuwa uhalisia wa kawaida. Kadri tasnia hiyo inavyozidi kuendelea, wanataaluma wengi zaidi wanakuwa wajaribishaji wa magari hayo ya kujiendesha yenyewe bila dereva. Kazi ya taaluma ya "Mjaribishaji wa magari ya teknolojia za kisasa yaliyounganishwa na mtandao" imeorodheshwa kuwa moja kati ya kazi rasmi 19 mpya na Wizara ya Rasilimali Watu na Hifadhi ya Jamii ya China mapema mwaka huu.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha