Lugha Nyingine
Watalii wavutiwa na utamaduni wa Dunhuang kupitia teknolojia ya kidijitali (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 23, 2024
Watalii wakitengeneza video katika maonyesho ya kidijitali ya Mapango ya Mogao mjini Dunhuang, Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Julai 22, 2024. (Xinhua/Lang Bingbing) |
Maonyesho ya kidijitali yanayotumia teknolojia ya 3D na vifaa VR yanafanyika ili kusaidia watalii kufurahia utamaduni wa Dunhuang katika Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China.
Ikiwa ni moja ya malango muhimu ya kuingia kwenye Njia ya Kale ya Hariri, Dunhuang ni sehemu iliyopo Mapango ya Mogao, ambayo ni Eneo la Urithi wa Dunia wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) linalojivunia mkusanyiko mkubwa wa kazi za sanaa za Kibuddha.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma