Lugha Nyingine
Msimu wa Mavuno ya Shayiri waanza katika Mji wa Shannan Mkoa wa Xizang, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 02, 2024
Hivi karibuni, wilaya ya Zhanang ya mji wa Shannan katika Mkoa wa Xizang, Kusini Magharibi mwa China imekaribisha msimu wa mavuno ya shayiri. Watu walikuwa na pilika nyingi za kuvuna shayiri na kuhisi furaha ya mavuno.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma