Lugha Nyingine
Kwenda ufukweni kuepuka?joto kali kwavutia watu wengi?katika Mji wa Rizhao, Mkoani Shandong, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Watalii wakijiburudisha kwenye ufukwe wa Wangpingkou katika Mji wa Rizhao, China, tarehe 8, Agosti (Picha na droni). |
Siku hizi, kuepuka joto kwenye kando za bahari za Mji wa Rizhao, Mkoa wa Shandong, China zilizopo katika pwani ya Bahari ya Manjano ya China, kunazidi kuvutia watu wengi. Bahari ya buluu, anga la buluu na ufukwe wazi vimevutia watalii wengi kwenda katika mji huo kwa ajili ya kujiburudisha na kucheza michezo ya ufukweni.
(Mpiga picha: Guo Xulei/XINHUA)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma