超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Mkoa wa Shandong, China waendeleza mageuzi na maendeleo jumuishi ya bandari za pwani (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Mkoa wa Shandong, China waendeleza mageuzi na maendeleo jumuishi ya bandari za pwani
Picha hii iliyopigwa kwa droni Agosti 6, 2024 ikionyesha magari ya kibiashara yatakayosafirishwa yakiwa pembeni mwa meli ya ro-ro katika Bandari ya Yantai, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Picha na Tang Ke/Xinhua)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China umekuwa ukitumia kikamilifu maliasili yake baharini kuhimiza maendeleo na mageuzi jumuishi ya bandari za pwani, ili kujenga kundi la bandari za kiwango cha juu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha