Lugha Nyingine
Vuka nchi mbili kwa hatua moja! Twende mpakani na kuona "mlango wa China" takatifu na wenye pilikapilika
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 19, 2024
Treni zinazosafiri kati ya China na nchi za nje, shughuli za biashara zenye pilikapilika, na bidhaa za aina mbalimbali......Kando ya mpaka wa nchi kavu wa takriban kilomita 22,000 wa China, bandari zenye shughuli nyingi na milango ya nchi zimeshuhudia "mlango wazi" wa China ukifunguliwa zaidi. Horgos, Alashankou, Manzhouli... Twende tuone “mlango wa China" unaoungana na dunia nzima na zama hii!
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma