超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Chai ya majira ya joto yakaribisha mavuno mazuri ?huko Jiande,?Mkoa wa Zhejiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2024
Chai ya majira ya joto yakaribisha mavuno mazuri ?huko Jiande,?Mkoa wa Zhejiang, China
Mkulima akifanya uchukuzi wa majani ya chai yaliyochumwa na kufungwa, Agosti 11. (Xinhua/Xu Yu)

Hivi karibuni, harufu ya chai ikinukia katika karakana ya kiwanda kidogo cha Gongfu cha Chai ya Yunxi cha Kijiji cha Qiucun cha Mji wa Wilaya ya Qiantan ya Mji wa Jiande, Mkoa wa Zhejiang. Wafanyakazi wakishughulikia utengenezaji wa majani mabichi ya chai, na wanaweza kutengeneza majani mabichi ya chai zaidi ya tani 5 kila siku. Kiwanda kidogo cha Gongfu cha Chai ya Yunxi ni kiwanda cha uzalishaji wa chai isiyo na uchafuzi. Katika miaka ya hivi karibuni, kwa kupitia kutoa mafunzo ya kiufundi, kutoa zana na vifaa vya bure vya utengenezaji wa chai kwa wakulima, kiwanda hicho kimeongeza mapato Yuani 100,000 kwa uchumi wa ushirika wa kijiji cha Qiucun kila mwaka, na kusaidia familia za wakulima wa chai wa vijiji vitano vya kando za Kijito Xuxi wa Qiantan kuongeza mapato ya wastani wa Yuani milioni 2 kila mwaka.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha