Lugha Nyingine
Daraja Kubwa?la Machanghe Lafanikiwa kuunganishwa huko Guizhou, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 22, 2024
Daraja Kubwa la Machanghe kwenye Barabara kuu kati ya miji ya Guiyang na Pingtang lilifanikiwa kuunganishwa, Agosti 21. Daraja hilo lina urefu wa mita 381.5 na upinde wake unachukua mita 260.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma