超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Chombo cha "Jiaolong" chamaliza kazi ya mwisho ya kuzamia chini baharini katika safari ya kisayansi ya kimataifa kwenye Bahari ya Pasifiki ya Magharibi 2024 (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 12, 2024
Chombo cha
Picha iliyopigwa tarehe 11, Septemba, ikionesha chombo cha “Jiaolong” kurudi kwenye sitaha ya meli kuu “Shenhai-1” baada ya kumaliza kazi ya kuzamia chini baharini. (Xinhua/Wang Yuhao)

Saa 7:51 ya tarehe 11 kwa saa za chombo cha “Jiaolong”, chombo hicho kilikamilisha kazi yake ya chini ya bahari ya saa tano na nusu kwenye mlima wa baharini wa Viga katika Bahari ya Pasifiki ya Magharibi, ikibeba waendeshaji wa chombo Zhao Shengya, Zhang Yi, pamoja na mwanasayansi wa timu ya utafiti Gao Wei, na kupanda juu kutoka kwenye sehemu yenye kina cha mita 1,783. Saa 9:10 mchana kwa saa za chombo, "Jiaolong" ilirejea kwenye sitaha ya nyuma ya meli kuu ya "Shenhai-1," hali ambayo inamaanisha kazi yake ya kuzamia chini baharini kwa mara 18 katika safari hiyo ya kisayansi imekamilika kwa mafanikio.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha