Lugha Nyingine
Wakulima wavuna mazao ya mpunga ya mwishoni mwa msimu huko Taihe, Mkoa wa Jiangxi, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 09, 2024
Mkulima akivuna mazao ya mpunga ya mwishoni mwa msimu katika Kijiji cha Guanxi cha Chengjiang, Wilaya ya Taihe, Mji wa Ji'an, Mkoa wa Jiangxi, China. (vip.people.com.cn/Deng Heping) |
Mavuno ya mpunga ya mwishoni mwa msimu wa kilimo katika Wilaya ya Taihe ya Mkoa wa Jiangxi nchini China yamekuwa mazuri. Wakulima wametumia fursa ya msimu wa kilimo kuvuna mpunga, wakihakikisha kwamba kila punje ya mpunga imehifadhiwa katika ghala la nafaka kwa wakati na kuwezesha usalama wa chakula wa China, Oktoba 8, 2024.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma