超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Kuifahamu China | Ujenzi wa Mambo ya Kisasa wa China ni mambo ya kisasa ya watu wote kutajirika pamoja

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2024

"Jambo muhimu la kuifahamu China, ni kufahamu Ujenzi wa Mambo ya Kisasa wa China."

Tovuti ya Gazeti la Umma (People’s Daily Online) sasa imetoa vipindi vipya vinavyoitwa "Kuifahamu China", ambavyo vinafafanua na kuwasilisha picha halisi na ya pande zote ya China kupitia mazungumzo ya kina kati ya viongozi wa siasa wa nchi mbalimbali na wasomi wa ndani na nje ya China.

Ujenzi wa Mambo ya Kisasa wa China ni mambo ya kisasa ya watu wote kutajirika pamoja, na pia ni matakwa ya kimsingi ya ujamaa wenye umaalumu wa China, na pia ni mchakato wa kihistoria wa muda mrefu.

Katika kipindi hiki cha "Kuifahamu China", Lin Yifu, mkuu wa Taasisi ya Uchumi wa Muundo Mpya ya Chuo Kikuu cha Beijing na mkurugenzi wa heshima wa Taasisi ya Maendeleo ya Nchi ya China, pamoja na John Ross, mkuu mstaafu wa Ofisi ya Sera za Uchumi na Biashara ya London ya Uingereza na mtafiti mwandamizi wa Taasisi ya Mambo ya Fedha ya Chongyang ya Chuo Kikuu cha Renmin cha China, ambapo walichambua hali ya uchumi ya hivi sasa, na kujadili jinsi ya kutambua kwa usahihi umuhimu wa utajiri wa watu wote katika ujenzi wa mambo ya kisasa wa China.

Wasomi hao wawili wamesifu mafanikio ya maendeleo yaliyopatikana nchini China tangu itekeleze sera ya ufunguaji mlango na mageuzi. Ross alisema, maoni ya “maendeleo ya China yamefika kilele” hayaendani na hali halisi, na njia ya maendeleo ya China inastahili kuigwa na nchi nyingine duniani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha