超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) kufanya mazoezi ya kivita "Joint Sword-2024B" pembezoni mwa Kisiwa cha Taiwan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 14, 2024

NANJING - Msemaji wa Eneo la Vita la Mashariki la Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) amesema, leo Jumatatu vikosi vya jeshi la nchi kavu, jeshi la majini, jeshi la angani na kikosi cha roketi vinafanya mazoezi ya kivita "Joint Sword-2024B" kwenye maeneo ya Mlango Bahari wa Taiwan na Kaskazini, Kusini na Mashariki mwa Kisiwa cha Taiwan.

Li Xi, msemaji huyo amesema, mazoezi hayo yanahusisha meli na ndege zitakazokaribia kisiwa hicho kutoka pande mbalimbali pamoja na mashambulizi ya vikosi vya pamoja.

Mazoezi hayo yanaweka mkazo kwenye doria ya pamoja ya utayari wa kupambana majini na angani, kuzingira na kudhibiti bandari na maeneo muhimu, kushambulia malengo ya baharini na nchi kavu, na kunyakua mamlaka ya udhibiti wa jumla wa medani ya vita, ili kujaribu uwezo wa pamoja wa mapigano halisi ya vikosi vya makao makuu ya eneo hilo, Li amesema.

Mazoezi hayo ni onyo lenye nguvu kwa shughuli za mafarakano za makundi ya kutafuta "Taiwan ijitenge", na ni vitendo halali vya lazima vya kulinda mamlaka ya nchi na Muungano wa Taifa, Li amesema.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha