超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Eneo lenye mandhari nzuri la Yading lavutia watalii mkoani Sichuan nchini?China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2024
Eneo lenye mandhari nzuri la Yading lavutia watalii mkoani Sichuan nchini?China
Mfanyakazi amhudumia mtalii maji ya moto katika kituo cha huduma cha eneo lenye mandhari nzuri ya Yading katika Wilaya ya Daocheng ya Eneo linalojiendesha la kabila la WaTibet la Garze, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Oktoba 31, 2024. (Xinhua/Chu Jiayin)

Mandhari ya majira ya mpukutiko ya eneo lenye mandhari nzuri la Yading katika Wilaya ya Daocheng ya Eneo linalojiendesha la Kabila la WaTibet la Garze imeingia kipindi cha kupendeza zaidi hivi karibuni, na kuvutia watalii kujionea uzuri wake.

Katika miaka ya hivi karibuni, mamlaka za eneo hilo zimefanya jitihada za kuboresha miundombinu na usimamizi ili kukidhi mahitaji ya watalii.

Kufikia sasa mwaka huu, eneo hilo limevutia zaidi ya watalii 860,000.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha