Lugha Nyingine
Maonyesho ya Hazina za Ngazi ya Kitaifa za Picha?za Uchoraji?na Sanaa za Maandiko ya Kichina yafanyika katika Jumba la Mashariki la Makumbusho la Shanghai, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 15, 2024
Wakazi wa Shanghai wakitembelea katika Jumba la Maonesho ya picha za uchoraji za enzi zote za China katika Jumba kuu la Mashariki la Makumbusho la Shanghai Novemba 13, 2024. |
Novemba 13, 2024, Jumba la maonesho ya picha za uchoraji za enzi zote za China na Jumba la maonesho ya Sanaa za maandiko ya lugha ya Kichina katika Jumba kuu la Mashariki la Makumbusho la Shanghai yalifunguliwa rasmi kwa umma, ambapo zimeoneshwa hazina nyingi za ngazi ya kitaifa za picha za uchoraji na Sanaa za maandiko ya Kichina, na kazi bora za wasanii maarufu ambazo hazijaonyeshwa hadharani kwa miaka mingi, na kuvutia watu wengi kuzitembelea.
(Picha na Wang Chu/vip.people.com.cn)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma