Lugha Nyingine
Mambo matatu ya kitamaduni ya China yaongezwa kwenye orodha ya mali ya urithi wa utamaduni usioshikia ya UNESCO (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 06, 2024
Mambo matatu ya kitamaduni ya China, ambayo ni ufundi wa jadi wa ufumaji nguo wa kabila la Wali: kusokota, kupaka rangi, kusuka na kudarizi; Sikukuu ya Mwaka Mpya wa kabila la Waqiang, inayosherehekewa katika Mkoa wa Sichuan wa China, pamoja na usanifu wa jadi na desturi za kujenga madaraja ya tao ya mbao yenye muundo wa upinde ya China, yameongezwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwenye Orodha yake ya Uwakilishi wa Mali ya Urithi wa Utamaduni Usioshikika wa Binadamu kwenye mkutano uliofanyika Asuncion, Paraguay jana Alhamisi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma