Lugha Nyingine
Maeneo ya kihistoria yaliyokarabatiwa ya Macao, China yavutia wenyeji na watalii
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 13, 2024
Picha hii iliyopigwa Desemba 2, 2024 ikionyesha mwonekano wa Ngome ya Mizinga iliyokarabatiwa upya katika Mkoa wa Utawala Maalum wa Macao (SAR) nchini China. (Xinhua/Cheong Kam Ka) |
Serikali ya Mkoa wa Utawala Maalum wa Macao (SAR) nchini China siku zote inajikita katika kukarabati na kutumia kwa kufaa maeneo ya kihistoria katika mkoa huo. Idadi ya wenyeji na watalii wanaotembelea maeneo hayo imeongezeka siku hizi ili kuhisi haiba ya mafungamano kati ya tamaduni za jadi na za kisasa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma