超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Treni ya Kitalii kutoka Harbin hadi Yichun nchini China yawapa abiria uzoefu mzuri wa burudani na kutazama mandhari

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 19, 2023
Treni ya Kitalii kutoka Harbin hadi Yichun nchini China yawapa abiria uzoefu mzuri wa burudani na kutazama mandhari
Abiria akicheza kwa kutumia vifaa vya michezo ya kompyuta na kidigitali ndani ya treni ya kitalii katika Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Juni 18, 2023. (Xinhua/Zhang Tao)

Treni ya kitalii iliyobeba takriban abiria 200 imeondoka Harbin, Mji Mkuu wa Mkoa wa Heilongjiang, China siku ya Jumapili kuelekea "mji wa msitu" wa China Yichun katika Mkoa huo Heilongjiang. Treni hiyo inawapa abiria uzoefu wa kuburudika na kutazama mandhari ya kuvutia inapopitia misitu mingi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha