超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Shule ya Chekechea katika Mji wa Jinan, China yaanzisha warsha kwa ajili ya watoto kujifunza kuhusu utamaduni wa jadi wa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 30, 2023
Shule ya Chekechea katika Mji wa Jinan, China yaanzisha warsha kwa ajili ya watoto kujifunza kuhusu utamaduni wa jadi wa China
Mwalimu Zhu Qingmin akifundisha watoto kufanya mchezo wa Sanaa wa kucheza kivuli katika shule ya chekechea ya Shanwang iliyoko mjini Jinan, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Novemba 29, 2023. (Xinhua/Guo Xulei)

Shule ya chekechea ya Shanwang iliyoko mjini Jinan katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China imeanzisha warsha nyingi kwa ajili ya watoto kujifunza kuhusu utamaduni wa jadi wa China. Watoto wanaweza kupokea elimu mbalimbali kama vile mchezo wa Sanaa wa kucheza kivuli, uchoraji wa picha wa kijadi wa China, na ufundi wa kutengeneza batiki kutoka kwa walimu wao kuendana na mahitaji yao.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha