Lugha Nyingine
Shule ya Chekechea katika Mji wa Jinan, China yaanzisha warsha kwa ajili ya watoto kujifunza kuhusu utamaduni wa jadi wa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 30, 2023
Shule ya chekechea ya Shanwang iliyoko mjini Jinan katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China imeanzisha warsha nyingi kwa ajili ya watoto kujifunza kuhusu utamaduni wa jadi wa China. Watoto wanaweza kupokea elimu mbalimbali kama vile mchezo wa Sanaa wa kucheza kivuli, uchoraji wa picha wa kijadi wa China, na ufundi wa kutengeneza batiki kutoka kwa walimu wao kuendana na mahitaji yao.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma