超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Tamasha la 34 la Naadam laanza katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani wa China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2024
Tamasha la 34 la Naadam laanza katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani wa China
Picha hii ya droni iliyopigwa Julai 14, 2024 ikionyesha hafla ya ufunguzi wa Tamasha la 34 la Naadam katika eneo la Xilin Gol la Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Lian Zhen)

Tamasha la Naadam limeanza katika Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China jana siku ya Jumapili. Siku ya Naadam, ambayo kwa kawaida inasherehekewa katikati ya majira ya joto, na wakati mwingine inasherehekewa wakati wa majira ya baridi katika maeneo ya wafugaji ya mkoa huo wa Mongolia ya Ndani. Naadam inamaanisha "michezo" katika lugha ya Kimongolia. Shughuli za Naadam zikiwemo pamoja na mieleka, mchezo wa kurusha mishale, na mbio za farasi, ambazo zinajulikana kwa jina la "Michezo Mitatu ya Wanaume."

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha