超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

China kwa mara ya kwanza Yaagiza Nyama ya Mbuzi kutoka Afrika (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2024
China kwa mara ya kwanza Yaagiza Nyama ya Mbuzi kutoka Afrika
Maafisa wa Idara ya Forodha ya Changsha wakikagua taarifa za bidhaa, Septemba 8.(Xinhua/Chen Zhenhai)

Siku ya Jumapili, nyama ya mbuzi iliyogandishwa kutoka Madagaska, Afrika, ilifika kituo cha ukaguzi wa nyama iliyoagizwa kutoka nje cha Hongxing mkoani Hunan. Nyama hiyo yenye uzito wa kilo 900 kwa jumla ni shehena ya kwanza kuagizwa kutoka Madagaska baada ya nchi hiyo kupata idhini ya kuuza nyama ya mbuzi kenye soko la China mwaka jana, na pia ni mara ya kwanza kwa China kuagiza nyama ya mbuzi kutoka Afrika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha