Lugha Nyingine
China kwa mara ya kwanza Yaagiza Nyama ya Mbuzi kutoka Afrika (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2024
Siku ya Jumapili, nyama ya mbuzi iliyogandishwa kutoka Madagaska, Afrika, ilifika kituo cha ukaguzi wa nyama iliyoagizwa kutoka nje cha Hongxing mkoani Hunan. Nyama hiyo yenye uzito wa kilo 900 kwa jumla ni shehena ya kwanza kuagizwa kutoka Madagaska baada ya nchi hiyo kupata idhini ya kuuza nyama ya mbuzi kenye soko la China mwaka jana, na pia ni mara ya kwanza kwa China kuagiza nyama ya mbuzi kutoka Afrika.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma