超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Mrithi wa Wimbo?wa Kabila la Wadong (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2024
Mrithi wa Wimbo?wa Kabila la Wadong
Agosti 30, Wu Chunyue(kwanza wa kushoto) akijifunza ustadi wa utarizi ya Kabila la Wadong katika Kijiji cha Chengyangbacun cha Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Sanjiang Mkoani Guangxi, China. (Xinhua/Zhang Ailin)

Wilaya ya Kabila la Wadong ya Sanjiang ya Mkoa wa Guangxi ambayo ina wakazi wengi zaidi wa Kabila la Wadong nchini China, inajulikana kwa utamaduni wa aina mbalimbali wa Kabila la Wadong. Wimbo wa Kabila la Wadong imeorodheshwa kwenye orodha ya vitu vya urithi wa utamaduni usioshikika wa kitaifa wa China mwaka 2009.

Wu Chunyue mwenye umri wa miaka 37 ndiye mrithi wa Wimbo wa Kabila la Wadong, amejitolea katika uvumbuzi wa kwaya za Kabila la Wadong, akichanganya ala za kijadi na vipengee vya muziki vya kisasa ili kuvumbua mtindo mpya wa kuonyesha. Zaidi ya hayo, Wu Chunyue amekuwa akiendelea kufanya kazi za shambani, kuwasiliana na wanavijiji na watalii wa eneo hilo ili kupata wazo kutoka maisha. Juhudi zake zimevutia vijana wengi zaidi kufuatilia utamaduni wa Kabila la Wadong.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha