Lugha Nyingine
Tasnia?Maalum za?Milimani Zawezesha Wanakijiji?kupata Ustawi?wa Pamoja
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2024
Mji mdogo wa Lingbei wa Mji wa Zhuji katika Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China uko maeneo ya mbali milimani. Katika miaka ya hivi karibuni, mji huo mdogo umekuwa ukitegemea sifa nzuri za mazingira yake ya asili kuendeleza tasnia maalum ya ufugaji wa kiikolojia wa kuku wa kienyeji na tasnia ya nyama ya kuku iliyobanikwa na chumvi, na kujenga mnyororo fungamanishi wa viwanda wa "ufugaji wa kiikolojia + uzalishaji wa tija + usimamizi wa pamoja + utangazaji wa chapa".
Jumla ya mapato ya mji huo mdogo yanayotokana na mauzo ya kila mwaka imefikia zaidi ya Yuan 600,000, ukitumia vema tasnia maalum za sehemu husika kutoa fursa za ajira na ujasirimali.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma