Lugha Nyingine
Mji wa Binzhou wa Mkoa wa Shandong, China wahimiza maendeleo ya uchumi wa anga ya chini (12)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2024
Meng Deyin (katikati), mwalimu wa Chuo Kikuu cha Usafiri wa Anga cha Shandong akifanya mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi kuhusu miundo ya ndege katika Chuo Kikuu cha Usafiri wa Anga cha Shandong huko Binzhou, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Guo Xulei) |
Uchumi wa anga ya chini umeendelezwa zaidi katika Mji wa Binzhou wa Mkoa wa Shandong Mashariki mwa China. Mji huo unatumia vya kutosha mpangilio wa maeneo kadhaa maalum ya viwanda, pamoja na nguvu bora ya kuwaandaa vipaji na Utafiti na Uundaji (R&D) vya Chuo Kikuu cha Usafiri wa Anga cha Shandong.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma