Lugha Nyingine
Wiki ya 17 ya Mitindo ya Mavazi ya Kiswahili yaanza rasmi jijini Dar es Salaam, Tanzania (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 09, 2024
Mwanamitindo akiwasilisha ubunifu wa mavazi kwenye Wiki ya 17 ya Mitindo ya Mavazi ya Kiswahili jijini Dar es Salaam, Tanzania, Desemba 6, 2024. (Xinhua/Emmanuel Herman) |
Wiki ya Mitindo ya Mavazi ya Kiswahili (Swahili Fashion Week), ambayo ni tukio la kila mwaka la mitindo ya mavazi barani Afrika, imeanza rasmi katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania Ijumaa usiku ambapo shughuli mbalimbali zikiwemo za wanamitindo kuonyesha mavazi jukwaani zitafanyika.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma